Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

LIVE: Mwili wa marehemu Agness Masongange ukitolewa Muhimbili

on

Muda huu kupitia AyoTV tupo LIVE Hospital ya Taifa ya Muhimbili ambapo mwili wa Agnes Gerald ‘Masogange’ unatolewa Muhimbili ambapo utaagwa leo katika viwanja wa Leaders Club jijini Dar es Salaam, na kisha kusafirishwa kwenda kwao Mbeya kwa ajili ya mazishi.

Masogange alifariki dunia Ijumaa April 20 saa 10 jioni kutokana na kusumbuliwa na maradhi ya ‘pneumonia.

BABA WA MASOGANGE: Amezungumza tusiyoyajua, simu ya mwisho siku ya kifo

Soma na hizi

Tupia Comments