Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Wizkid anakuja na hii mpya kwa ajili ya mashabiki zake

on

Starboy Wizkid  amekuwa miongoni mwa mastaa ambao wamepokea tuzo nyingi kwa miaka iliyopita kutokana na kazi ya muziki wake anaoufanya na hivyo kukubalika na mataifa mbalimbali duniani.

Kupitia mtandao wa twitter, Wizkid ametangaza kuwa ana mpango wa kutoa album nyingine mwaka huu akiwa Nigeria na hii ni baada ya kuwa na album zake tatu ambazo ni “Superstar 2011”, “Ayo 2014”  na “Sounds from the other side 2017”  hii itakuwa ni album yake ya nne. Wizkid ameandika “Ninarekodi album mpya Lagos Nigeria na tutaona”

VIDEO:Majibu ya Hamisa na Zari vipi kuzaa na Diamond kumewafanya kuwa mastaa?

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments