Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Godbless Lema akiri Hakimu ni Rafiki wa Mke wake, ya leo Mahakamani je?

on

Inafahamika kwamba Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema kwa ticket ya CHADEMA anazo kesi Mahakamani ambapo leo ilikua ni siku nyingine tena akihitajika Mahakamani.

Kesi zenyewe ziko mbili na zinahusu uchochezi ambapo leo baada ya kufika Mahakamani zimeahirishwa hadi August 21 2017 ambapo atasomewa maelezo ya awali.

Baada ya kutoka Mahakamani, Mbunge Godbless Lema ameyasema yafuatayo “kesi moja Hakimu yuko na majukumu mengine lakini kesi ya pili nilibadilishiwa Hakimu baada ya upande wa mashtaka kumuwekea pingamizi Hakimu aliyekua na kesi yangu ile ya awali

Walimuwekea pingamizi kwa kusema ni Hakimu huyo ni rafiki wa mke wangu, ni kweli ni rafiki wa mke wangu wanasali na kufanya ibada pamoja, sasa nimebadilishiwa Hakimu kwahiyo leo tumepangiwa tarehe kwa ajili ya PH, hizi kesi ni zile ambazo zilinipeleka Magereza kwa miezi minne


Kwanini Wema Sepetu ameshindwa kujiunga na CHADEMA jana? bonyeza play hapa chini kufahamu

VIDEO: Easter Bulaya afunguka gharama alizotumia kesi yake na Wasira, play hapa chini kufahamu zaidi

Soma na hizi

Tupia Comments