PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

AyoTV

Jamaa anaeweza kuongea na Mbwa na wakasikilizana, nimeng’twa sana

on

Moja kati ya vitu vinavyowashangaza wengi ni kuona uwezo wa baadhi ya Mbwa katika kusikiliza na kutii maagizo ya wanaomiliki kama vile wanaongea na mtu, leo AyoTV imefanya exclusive interview na Evans Peter ambaye ni mtaalam wa kufundisha Mbwa na Farasi akieleza na kuonesha anavyowafundisha Mbwa.

EXCLUSIVE: Licha ya kuwa na pesa na ustaa, hii ndio Sababu inayomfanya Samatta asiringe

Soma na hizi

Tupia Comments