Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

“Yanga ni wakubwa kuliko sisi lakini leo tumedhihirisha”-Kocha Rayon Sports

on

Baada ya game ya Kombe la Shirikisho Afrika CAF kati ya Yanga dhidi ya Rayon Sports ya Rwanda kuchezwa uwanja wa Taifa Dar es Salaam na game kumalizika kwa sare tasa (0-0), kocha wa Rayon Sports Ivan ameeleza kuwa kabla ya kucheza game za Yanga na Gor Mahia alikuwa anajua kuwa ni kubwa kuliko timu yake lakini hiyo haikuwa kigezo cha wao kuziogopa.

“Ndio sijafurahishwa na matokeo nafikiri tulicheza vizuri na tulistahili kupata ushindi, toka mwanzo nilikuwa najua Yanga ni kubwa kuliko sisi, Gor Mahia ni kubwa pia kuliko sisi lakini haimaanishi kuwa kubwa ndio tuziogope na leo tumethibitisha kuwa tunaweza kupambana nao”>>> Ivan Minnaert

Haji Manara alivyokuja na takwimu leo mbele ya waandishi wa habari

Soma na hizi

Tupia Comments