Biko


Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Alichokisema Lowassa kuhusu kusalimiana na Rais Magufuli

on

Baada ya Rais Dk. John Magufuli na Waziri Mkuu wa Zamani, Edward Lowassa kukutana  kwa mara ya kwanza katika hafla ya Jubilei ya Dhahabu ya miaka 50 ya ndoa ya Rais mstaafu Benjamin Mkapa na mkewe Anna na kusalimia kwa kushikana mikono ambapo kitendo hicho kilizua mjadala.

Leo August 31 2016 Edward Lowassa alipokuwa mbele ya waaandishi wa habari aliulizwa ni nini walichokiongea na akatoa majibu haya……

>>>’Hatukuongea lolote la msingi zaidi ya kusalimiana na kutakiana heri, tuliahidiana kusalimiana nangojea mawasiliano, mitandao imeandika mengi ya uongo’-

ULIKOSA SABABU ZA CHADEMA KUAHIRISHA UKUTA? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement