Top Stories

HEKAHEKA: Mwanaume ameua familia yake kwa kutumia Jembe DSM

on

Hekaheka ya leo january 8, 2018 inahusu mwanaume aliyeuwa familia yake kwa kutumia jembe ambapo mwanaume huyo amemuuwa mke wake, mtoto wa miezi minne na shemeji yake kwa kutumia jembe ambapo mama na mtoto huyo mdogo wamezikwa siku ya jana January 7, 2018.

Inasemekana mwanaume huyo alienda kuomba jembe kwa jirani yake ambapo usiku mwanaume huyo alifanya mauaji hayo na inasemekana chanzo cha hayo yote ni wivu wa mapenzi..Bonyeza hapa PLAY kusikiliza FULL STORY

HEKEHEKA: Boss Mchina awaamuru Mbwa wamg’ate mfanyakazi wake

Soma na hizi

Tupia Comments