Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Maamuzi ya Mahakama Kuu kuhusu CUF kupewa ruzuku

on

Leo August 11, 2017 Mahakama Kuu ya Tanzania imetupilia mbali maombi ya Bodi ya CUF inayomuunga mkono Katibu Mkuu, Maalim Seif ya kutaka Msajili wa vyama vya siasa asitoe ruzuku kwa CUF upande wa Profesa Ibrahim Lipumba.

Maombi hayo namba 21 ya mwaka 2017 yametupiliwa mbali na Jaji Wilfred Dyansobera, baada ya Wakili wa Serikali Mkuu, Gabriel Malata anayemuwakilisha mdaiwa wa pili Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) kusema kesi imeitishwa kwa ajili ya uamuzi.

ULIPITWA? CUF ya Prof. Lipumba vs Maalim Seif walivyokutana Mahakamani…tazama kwenye hii video hapa chini!!

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement