Tangaza Hapa Ad

Mix

Baada ya barabara kuporomoka, Japan wametumia siku mbili kukarabati

on

Wiki iliyopita iliripotiwa habari ya shimo kubwa lilitokea baada barabara kuporomoka ghafla katikati mwa moja ya miji mikubwa zaidi nchini Japan.

mako45

Ilielezwa kuwa Mporomoko huo ulianza kwa mashimo mawili madogo ambayo baadaye yalianza kupanuka hadi kuwa shimo kubwa lenye kina cha mita 30 na upana wa futi 98.

chww4

Sasa leo November 15 2016 imeripotiwa kuwa barabara hiyo imefunguliwa, unaambiwa imefanyiwa ukarabati kwa muda wa siku mbili.

AUDIO: ‘Serikali imeridhishwa na mabadiliko kwenye MISS TANZANIA’ – Waziri Nape

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement