Tangaza Hapa Ad

Mix

VIDEO: Ukimuuliza waziri Lukuvi kuhusu marehemu Joseph Mungai atakujibu hivi

on

Jana Jioni ya November 8 2016 ziliripotiwa taarifa za kushtukiza kuhusu kifo cha aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu, Joseph Mungai ambaye alifariki dunia baada ya kuugua ghafla.

Marehemu Joseph Mungai ametokea Iringa ambako pia Waziri wa ardhi,  Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi ametokea, Ayo TV na millardayo.com imempata Waziri Lukuvi na amemuelezea marehemu Joseph Mungai kuwa…………..

>>>‘Amekuwa kijana wa pekee wa kwanza katika serikali ya Mwl. Nyerere kijana wa umri mdogo kuwa waziri kuliko mawaziri wote lakini ameendelea kuwa waziri katika serikali zote ya awamu ya kwanza, pili na ya tatu, namjua Joseph Mungai ni mtu ambaye alikuwa anajiamini sana’

AUDIO: Taarifa ya kifo cha Waziri wa zamani Joseph Mungai, BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement