Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

Majibu ya Lulu baada ya kufananishwa kwenye video ya mapenzi inayosambaa

on

U Heard ya XXL ya Clouds FM leo February 01 2017 imemuhusu mwigizaji wa Tanzania Elizabeth Michael maarufu kama ‘Lulu’ ambapo kwenye mitandao kuna video ya mapenzi inayosambaa ikidaiwa kwamba Mwanamke anayeonekana ndani yake ni Lulu.

Majibu ya Lulu ni haya >>>  ‘haijanishtua kwa sababu watu ndio wanaona lakini mimi sioni hata ishara moja ya kufanana nae, watu wangu wa karibu wengi wanaonijua wanaweza wakaona hilo, watu wa karibu wangenikomalia kwamba ni mimi ningeumia kichwa’

Bonyeza play hapa chini kusikiliza full stori

ULIKOSA? MAJIBU: Snura vs Madee baada ya Donjazzy kupost akiimba ‘chura’, Unaweza kubonyeza play hapa chini 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement