Tangaza Hapa Ad

Ombi la Jamii ya wafugaji kwa Waziri mpya wa Maliasili na Utalii


Wananchi na viongozi wa jamii ya wafugaji katika Tarafa ya Loliondo wamemuomba Waziri mpya wa Maliasili na Utalii, Dr. Hamis Kingwangalla awatembelee katika maeneo yao ili wamuelezee kero wanakutana nazo katika maisha yao ya ufugaji.

Wamemtaka Dk Kigwangala akutane na wakazi wa eneo hilo ili waweze kumwelezea kiini cha mgogoro wa eneo la pori Tengeru.

Ulipitwa na hii? Ombi la Jamii ya wafugaji kwa Waziri mpya wa Maliasili na Utalii

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement