Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: Muna Love kawajibu waliodai kamtelekeza mtoto wake mwingine

on

Moja ya taarifa iliyowahi kusambaa mtandaoni hivi karibuni ni hii kuhusu Muna Love kudaiwa kumtelekeza mtoto wake wa kwanza anayeitwa Brayan mwenye umri wa miaka 13 huko kijijini kwao Moshi, Sasa Muna amelijibu hilo je ni kweli mtoto huyo ni wa kwake..?

Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama Muna Love akifunguka.

VIDEO: HATIMAYE MUNA LOVE KAZINDUA THE PATRICK FOUNDATION

Soma na hizi

Tupia Comments