Tangaza Hapa Ad

Top Stories

RC MWANZA! Kaacha tena ofisi kuwafuata Wananchi, unamweleza changamoto zako

on

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella leo September 13, 2017 ametembelea katika Wilaya ya Ilemela ambapo kazi ilikuwa moja tu kusikiliza na kutatua migogoro ya ardhi katika Wilaya hiyo kwenye Ofisi za Halmashauri ya Manispaa Ilemela.

Hatua ya John Mongella kutembelea Ilemela ni kutimiza ahadi ambayo aliitoa wiki iliyopita kuwa September 13 ataitumia kuwasiliza wananchi wenye kero na migogoro ya ardhi na kuagiza Watendaji wa Idara ya Ardhi wasiende likizo kwa siku ya leo.

RC Mwanza alivyoacha Ofisi na kukaa nje kuhudumia Wananchi

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement