Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Country Boy, Stamina walivyonogesha Maisha Club Dar…..

on

Ni Usiku wa kuamkia October 3, 2016 ambapo Country Boy aliwakutanisha mashabiki wa muziki wa Hip Hop katika ukumbi wa Maisha Club ambapo staa huyo akisindikizwa na Stamina, Deddy, Young Killer na wengineo.

Itazame hii video hapa uone jinsi burudani ilivyotolewa na wakali hao.

ULIIKOSA HII YA MAMA WEMA KUHUSU WANAOMTUKANA WEMA SEPETU BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement