Premier Bet

Top Stories

Mwizi wa bodaboda kwa miaka mitano aeleza wanavyoziiba, 48 wamekamatwa Morogoro

on

Watu 48 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro kwa makosa tofauti ikiwemo kujihusisha na wizi pamoja na usafirishaji wa pikipiki huku wengine wakiwa ni Wanunuzi wa pikipiki hizo ambapo jumla ya pikipiki tatu zilizokamatwa na Jeshi hilo zimetambuliwa na Wamiliki wake.

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani humo SACP Wilbrod Mutafungwa amethibitisha kukamatwa kwa watuhumiwa hao huku akieleza kuwa zoezi hilo limekamilika mara baada ya kuunda timu iliyohusisha kikosi cha kupambana na ujambazi, Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia pamoja na Askari wanaohusika na makosa ya kimtandao .

Alichokifanya RC Homera baada ya kukuta Mkoa ni wa mwisho kwa kugawa vitambulisho

Soma na hizi

Tupia Comments