PremierBet Ad
Asas Dairies Ad
NBC Ad

Top Stories

Waziri Mkuu DRC ametangaza Rais Kabila kutogombea tena Urais

on

Leo June 13, 2018 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Bruno Tshibala amesema rais Jospeh Kabila hatawania tena urais, wakati wa Uchaguzi Mkuu mwezi December.

Tshibala, amesema kuwa Kabila ambaye muhula wake ulikamilika mwaka 2016, ataheshimu Katiba.

Hata hivyo, wanasiasa wa upinzani wamekuwa wakisema, wanamtaka rais Kabila mwenyewe kutanagza kuwa hatawania tena na kwenda kinyume na katiba ya nchi hiyo.

Maneno ya Rais Magufuli kwa TB Joshua katika Birthday yake

Soma na hizi

Tupia Comments