Premier Bet

Top Stories

Tajiri maarufu Arusha afikishwa Mahakamani kwa kuwakata Watu wawili masikio (+video)

on

Leo May 22, 2019 Kesi ya kuwakata masikio ya kushoto watu wawili inayomkabili Mfanyabiashara maarufu Jijini Arusha Aslim Minja imeahirishwa hadi June 21 mwaka huu kwenye Mahakama ya Wilaya ya Arumeru

Imedaiwa Mahakamani hapo kwamba Mtuhumiwa alitenda kosa hilo July 21, 2017 eneo la Njiro Jijini Arusha huku akijua kuwa ni kinyume cha sheria.

Watu wawili wanaodaiwa kutendewa matukio hayo ni  Aloyce Petro na Samwel Sambeke ambao walikuwa wafanyakazi wake.

HUYU NDIYE BRIGEDIA JENERALI NGWILIZI ALIPIGANA VITA YA KAGERA, RC DSM, MBUNGE

Soma na hizi

Tupia Comments