Premier Bet

Top Stories

Maneno ya Mbunge wa Kawe Halima Mdee aliporuhusiwa kutoka Hospitali

on

Mbunge wa Kawe Halima Mdee ameruhusiwa kutoka Hospitali baada ya kufanyiwa upasuaji wa kuondoa uvimbe tumboni na amesema anaendelea vizuri huku akiwashukuru wote waliomuombea na kumtumia salamu za pole.

Mdee alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Agha Khan jijini Dar es Salaam tangu Alhamisi ya Juni 6, 2019.

Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe nae akaandika kupitia ukurasa wake wa TwitterΒ 

MAGUFULI “HUYU MKURUGENZI ALIPIGA SIMU NIKAMTUKANA, KITU CHA AJABU KIPUMBAVU”

 

Soma na hizi

Tupia Comments