Top Stories

Mama kajifungua kwa mara ya kwanza baada ya mimba saba kuharibika

on

Leo June 11, 2018 tunayo taarifa kutoka kwa Mama ambaye ameugua kwa muda mrefu Chembe ya moyo ambapo ameeleza kila alipokuwa akibeba ujauzito ukifika miezi saba mimba inaharibika na mimba inatoka.

Baada ya kupata msaada kwenye hospitali ya Kivulini Marternity Centre ambayo inatoa huduma bure amejifungua salama, kwenye hii Exclusive kaelezea hali hiyo ilivyompata hadi akapata mtoto.

BREAKING: ZAIDI YA VIONGOZI 900 KUCHUNGUZWA MALI ZAO UPYA

 

Soma na hizi

Tupia Comments