Premier Bet

Top Stories

Mabweni mawili ya Shule ya Msingi yateketea kwa moto Arusha, Wanafunzi 16 wanusurika (+video)

on

Mabweni mawili ya Shule ya Msingi ya Hillsun Mkoani Arusha yameungua kwa moto huku Wanafunzi 16 wakinusurika kifo, Kamanda wa Polisi Arusha Jonathan Shana amesema hadi sasa chanzo hakijabainika ila uchunguzi zaidi unaendelea.

MABWENI YA SHULE YA ASHIRA YANATEKETEA KWA MOTO, MWANAFUNZI ANALIA JUMA ATOKE NDANI

AFUKUA KABURI LA BABA YAKE ALIEZIKWA MIAKA MITATU ILIYOPITA ACHUKUE BLANKETI

Soma na hizi

Tupia Comments