Top Stories

Kubakwa na kupigwa kilio kikubwa kwa Wanawake wa Kigoma (+video)

on

Mratibu wa masuala ya Kupinga Ukatili dhidi ya Wanawake na Wasichana kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la UN Women Lucy Tesha amesema Mkoa wa Kigoma ni miongoni mwa Mikoa inayoongoza kwa kuwa na kiwango kikubwa cha vitendo vya ukatili dhidi ya Wanawake.

Akizungumza wakati wa kilele cha Siku 16 za Kupinga Vitendo vya Ukatili wa Kijinsia amesema vitendo hivyo vimekuwa vikiongezeka kila kukicha ambapo wameiomba Serikali na wadau wa mbalimbali kusaidia kutoa Elimu ili kusaidia kupunguza hali hiyo.

KESI YA AKWILINA: Mbowe, Matiko Gerezani, Heche, Mdee waeleweka Mahakamani

 

Soma na hizi

Tupia Comments