Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Waziri Mwakyembe baada ya kuwapokea Serengeti Boys na Kombe

on

Serengeti Boys ambao wametwaa taji la michuano hiyo kwa kuifunga Somalia kwa magoli 2-0 na kutwaa taji hilo, walipokelewa na watu mbalimbali akiwemo waziri wa habari, utamaduni na michezo Dr Harrison Mwakyembe nae alijitokeza kuwapokea na kuzungumza machache na waandishi wa habari.

Mapokezi ya Serengeti Boys baada ya kuwasili Tanzania na Kombe

Soma na hizi

Tupia Comments