Premier Bet
TMDA Ad

Michezo

PICHA 7: Utambulisho wa Shaban Chilunda CD Tenerife nchini Hispania

on

Mtanzania Shaban Iddi Chilunda aliyekuwa anaichezea club ya Azam FC, tayari amekamilisha usajili wa kujiunga na club yake mpya ya CD Tenerife inayoshiriki Ligi daraja la kwanza nchini Hispania.

Chilunda amejiunga na CD Tenerife kwa mkataba wa miaka miwili na tayari amefanyiwa vipimo vya afya na kutambulishwa mbele ya waandishi wa habari kama mchezaji mpya wa Tenerife kwa msimu wa 2018/19.

SIMBA DAY: Wachezaji wa Simba SC 2018/19 wametambulishwa rasmi

Soma na hizi

Tupia Comments