Premier Bet

Top Stories

RC Mwanri “hayawi hayawi yamekua Facebook wanaitaka Apllication ya Mtoto wa Tabora” (+video)

on

Ofisi ya Mkuu ya Mkoa wa Tabora imemtunuku cheti cha heshima Khatija Saphy mwenye miaka Mwanafunzi wa Kidato cha Tatu Shule ya Sekondari Ndono Wilayani Uyui baada kubuni program tumishi (APPLICATION) inayomkumbusha Mama ,jamzito kwenda Kliniki.

Akitoa pongezi za Mkoa Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri amesema tayari mzazi amepokea ujumbe kutoka mtandao wa Facebook wakiomba kutumia Application hiyo “United State wanaomba Application aliyoitengeneza huyu, an you imagine jambo hili linatokea Tabora”

MAGUFULI ALIMTUKANA MKURUGENZI WAKE “ALIPIGA SIMU NIKAMTUKANA, KITU CHA AJABU KIPUMBAVU”

Soma na hizi

Tupia Comments