Premier Bet

Top Stories

Shule ya mwaka 1962 Dodoma imekula Bilioni kasoro huu ni muonekano mpya (+video)

on

Leo June 13, 2019 Shirika la Nyumba la Taifa limekabidhi rasmi mradi wa ukarabati wa Shule kongwe ya Msalato Jijini Dodoma kwa Mamlaka ya Elimu (TEA).

Makabidhiano hayo yamefanywa na Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa NHC kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa NHC kwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TEA.

Mradi huo wa ukarabati umegharimu kiasi cha Milioni 939.2 mpaka kukamilika kwake.

Wakizungumza baada ya makabidhiano Walimu na Wanafunzi waliishukuru Serikali ya Awamu ya Tano kwa kukarabati Shule hiyo na hivyo kuboresha taaluma shuleni hapo.

LIVE IKULU: RAIS MAGUFULI ANAWABANA WAKURUGENZI “WAONDOKE IKULU HIVI HIVI”

Soma na hizi

Tupia Comments