Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: “Tuanataka kujua pesa zimepelekwa wapi?” – Maftaha

on

Bunge la Bajeti linaendelea Dodoma huku Wabunge wakichangia mapendekezo katika Bajeti za Wizara mbalimbali. Mbunge wa Mtwara Mjini Maftaha Nachuma alikuwa miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kuchangia mapendekezo katika Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ambapo alilieleza Bunge kuhusu ubadhilifu wa fedha kwa wakulima Mtwara.

VIDEO: Wazanzibari wasimulia upepo mkali uliowakumba wiki hii 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement