Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Magoli ya mechi ya Yanga vs Majimaji FC Septemba 10 2016, Full Time 3-0

on

Ligi Kuu soka Tanzania bara imeendelea kwa upande wa Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu klabu ya Dar es Salaam Young Africans walicheza dhidi ya Majimaji FC katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 3-0, magoli ambayo yalifungwa na Deus Kaseke dakika ya 35 na Amissi Tambwe dakika ya 75 na 85.

GOAL AND HIGHLIGHTS: YANGA VS TP MAZEMBE JUNE 28 2016, FULL TIME 0-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement