Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Breaking News

BREAKING: Rais Magufuli amteua Dkt. Slaa kuwa Balozi

on

Taarifa iliyotolewa jioni ya November 23 2017 kutoka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU, Gerson Msigwa imeeleza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo November, 23  2017 amemteua Dkt. Wilbrod Peter Slaa kuwa Balozi. Dkt. Wilbrod Peter Slaa ataapishwa baada ya taratibu kukamilika.

ULIKOSA HII? JPM aisoma Barua ya Sophia Simba kuomba msamaha CCM, Bonyeza play hapa chini kuitazama

Soma na hizi

Tupia Comments