Tangaza Hapa Ad

Mix

Picha 10: Ujenzi wa vibanda vya Machinga Makoroboi Mwanza unaendelea

on

December 06, 2016, Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli alitoa agizo kwa watendaji wa Mkoa wa Mwanza kusitisha mara moja zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara wadogo Machinga katikati ya mji, Baada ya agizo la Rais tayari kwenye eneo la Makoroboi Mwanza machinga wameanza ujenzi wa vibanda kwenye maeneo yao ya biashara, nimekuwekea picha za machinga wakiwa kwenye ujenzi wa vibanda vyao.

whatsapp-image-2016-12-07-at-10-36-39-am

whatsapp-image-2016-12-07-at-10-36-42-am

whatsapp-image-2016-12-07-at-10-36-42-am-3

whatsapp-image-2016-12-07-at-10-36-40-am

whatsapp-image-2016-12-07-at-10-36-38-am

whatsapp-image-2016-12-07-at-10-36-37-am

whatsapp-image-2016-12-07-at-10-36-37-am-1

whatsapp-image-2016-12-07-at-10-36-35-am

whatsapp-image-2016-12-07-at-10-36-35-am-1 VIDEO; Agizo la Rais Magufuli kuhusu wafanyabiashara wadogo , Bonyeza play hapa chini kutazama

Tupia Comments

Advertisement