DSTV


Tangaza Hapa Ad

Burudani

Tiwa Savage alivyofanyiwa surprise na mume wake kwenye stage ya AFRIMMA

on

Msanii Tiwa Savage baada ya kupokea tuzo za AFRIMMA usiku wa October 8 2017  zilizofanyika nchini Marekani, Texas Dallas kama msanii bora wa kike Afrika Magharibi, alipata nafasi ya kuperfom katika jukwaa hilo pamoja na wasanii kama Diamond Platnumz  ambapo waliperform  wimbo wao wa Fire.

katika performance ya Tiwa Savage mzazi mwenzake ambae ni Tee Billz alionekana kupanda kwenye stage na kumkambatia, Tiwa Savage alionekana kushangazwa kwa kile kitendo kilichotokea kutokana na awali kulikuwa na stori kuwa wawili hao hapo sawa kiasi cha kudaiwa kuwa walitengana nyumba.

Bonyeza hapa kupata habari kamili

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement