AyoTV

”DSM itakuwa ya usiku na mchana” Paul Makonda (+video)

on

Mkuu wa Mkoa wa DSM Paul Makonda leo January 8 2018 amekutana na waandishi wa habari na kuzungumza mipango mbalimbali itakayofanyika katika Mkoa wa DSM.

Mpango wa Serikali ya Mkoa ni kuhakikisha kwamba DSM inakua ni ya usiku na mchana, hautazidi mwezi wa pili kutakua na tamko rasmi la kuhakikisha DSM ni ya usiku na mchana” –RC Makonda

SAKATA LA CAG KUITWA BUNGENI, UKWELI KUHUSU SHERIA INAVYOSEMA

Soma na hizi

Tupia Comments