Tangaza Hapa Ad

FULL VIDEO: Awamu ya 3 ya Paul Makonda sakata la dawa za kulevya


Leo February 13 2017 mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amezungumza kuhusu vita ya dawa za kulevya awamu ya tatu, awamu hii Paul Makonda amekabidhi majina 97 ya wanaotuhumiwa kujihusisha na dawa za kulevya kwa kamishna mkuu wa mamlaka ya kupambana na kuzuia dawa za kulevya, William Sianga. Unaweza kutazama kila kitu kwenye video hii hapa chini

VIDEO: “Mnyama nimeamua, inabidi uwe mnyama kama Makonda” – T.I.D., Bonyeza play hapa chiniĀ 

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement