Tangaza Hapa Ad

Michezo

Kwahiyo hii ndio katuni nyingine maarufu ya kiswahili kuhusu Manchester United sio?

on

arsenalBasi baada ya mechi ya Chelsea vs Manchester United January 19 2014 ambapo ushindi ulichukuliwa na Chelsea kwa 3 -1 wafungaji wakiwa ni ( Eto’o 17′ 45′ 49′ na moja la Manchester United likifungwa na Hernandez kwenye dakika ya 78′ ndio niliipata hii katuni hapa juu japo sijui kama ni ya siku nyingi ama ya karibuni ila ndio niliiona imesambaa sana kwenye mikono ya wengi wanaonizunguka.

Hata hivyo niliamua kupita na kwenye mitandao mbalimbali kucheki picha/katuni ambazo zimetazamwa kwa wingi ndio nikakutana na hizi sasa hapa chini pia.

 

man u 4

man u 2

Screen Shot 2014-01-20 at 4.29.35 AM

Screen Shot 2014-01-20 at 4.35.58 AMman u 5Screen Shot 2014-01-20 at 4.33.18 AM

man u 9

Tupia Comments

Advertisement