Tangaza Hapa Ad

Duniani

BAADA YA KIFO: Man Water kaelezea ‘Kazi ya Dukani’, alivyokutana na Dogo Mfaume

on

Siku moja baada ya kutangazwa kifo cha msanii Dogo Mfaume ambaye alifahamika kama Mfalme wa Mchiriku akiwa Hospitali ya Muhimbili akisubiri upasuaji, leo May 18, 2017 producer wa Bongo Fleva, Man Water ameeleza alivyokutana na mwimbaji huyo wa hit single ya ‘Kazi ya Dukani’.

Ayo TV na millardayo.com zinaye Man Water kutoka Combination Sound ambaye ameeleza namna walivyokutana na marehemu Dogo Mfaume na kufikia kufanya naye kazi pamoja na mipango yao kabla ya Dogo Mfaume kufariki.

“Nimekutana naye mwaka 2008, nimekutanishwa na brother mmoja tulikuwa naye ofisi moja…” – Man Water.

Dogo Mfaume wa ‘kazi ya dukani’ amefariki…

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement