Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: Maoni ya mbunge Mchengerwa kuhusu muswada wa kupata taarifa

on

Mkutano wa nne wa bunge la kumi na moja umeendelea tena leo September 6 2016 huku mjadala mkubwa ukiwa ni kujadili muswada wa sheria ya upataji wa taarifa wa mwaka 2016 (The acess to information bill 2016) ambapo mmoja wa waliopata nafasi ya kuchangia muswada huo ni pamoja na Mbunge wa Rufiji Mohamed Mchengerwa.

Unaweza kumsikiliza kwenye hii video hapa chini…

ULIMIS TAARIFA YA SPIKA JOB NDUGAI KUHUSU RAIS MAGUFULI KUPITISHA MISWADA MITANO

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement