Tangaza Hapa Ad

Videos

VIDEOMPYA: Quicky Rocka ameiachia hii yuko na Mimi Mars ‘Down’

on

Mkali kutoka Bongoflevani Quicky Rocka Leo April 21 2017 ameiachia video ya mdundo wake mpya ‘Down‘ amemshirikisha mrembo mgeni kwenye game ya Bongofleva ambaye amezichukua Hedlines na Hitsong yake ya ‘Shuga’, ‘Down‘ ndio nyimbo ya kwanza ambayo ameshirikishwa Mimi Mars kuachiwa, usisahau pia kuniachia comment yako hapa na wakali hawa wataziona hapa.

Ulimiss hizi Dili tano kubwa alizozipata Herieth Paul Marekani na Maisha yake kwa ujumla itazame hii video hapa chini…

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement