Airtel TZ - Winky Music
Ads Separator
Clouds - Tunakufungulia Dunia
Home » Michezo » Mchezaji wa Nigeria Obafemi Martins apata mtoto na dada yake Mario Balotelli

January Makamba - Tanzania Mpya

Mchezaji wa Nigeria Obafemi Martins apata mtoto na dada yake Mario Balotelli

Obafemi Martin
Ushemeji kati ya Obafemi Martins na Mario Balotelli umezidi kuingia kwenye headlines baada ya dada mkubwa wa Super Mario kujifungua mtoto wa kiume  ambaye baba yake ni Martins.

Abigail Barwuah mwenye umri wa miaka 25 alianza kutoka na Obafemi Martins mwaka 2012 na mwaka huohuo mwezi December kwa bahati mbaya alipoteza ujauzito wa miezi minne.
obafemiObafemi Martins ana watoto wengine wawili wote wakiwa wa mama tofauti na baada ya huyu itakuwa ni mtoto wa tatu na wote wakiwa na mama tofauti ambapo mtoto wa kwanza wa Martins alipata na msichana mmoja mwenye asili ya Africa wakati anaishi Italy, mtoto mwingine mwenye miaka mitatu na nusu amempata na msichana wa kizungu.

Obafemi Martins 2

Tags :
Previous post link
Next post link
Scroll To Top