Tangaza Hapa Ad

PICHA 8: JPM alivyoongoza wananchi kutoa heshima za mwisho mwili wa Dk. Masaburi


Mwili wa aliyekuwa Meya wa zamani wa jiji la Dar es salaam Dk. Didas Masaburi umeagwa leo October 17 2016 na viongozi wa kitaifa pamoja na wananchi wa Dar es salaam kwenye viwanja vya Karimjee, kabla ya kwenda kuzikwa katika katika chuo cha ugavi na ununuzi cha IPS kilichoko Chanika Wilaya ya Ilala.

8

Baadhi ya Viongozi mbalimbali wa Kiserikali wakiongozwa na Rais Magufuli kutoka kushoto

6

Rais Dkt Magufuli na mkewe wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Meya wa Dar wa zamani Dkt. Didas

1 2 3 4 5 7

PICHA ZOTE NA HAKI NGOWI

ULIKOSA HUU MUONEKANO WA HOSPITALI YA KISASA YA CHUO CHA MUHIMBILI YENYE GHOROFA 9? UNAWEZA KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINIĀ 

Soma na hizi

Tupia Comments

On AIRSIKILIZA

Usipitwe na hizi

Advertisement