Tangaza Hapa Ad

Mix

PICHA 20: Bondia Thomas Mashali alivyozikwa Kinondoni

on

November 2, 2016 mwili wa bondia maarufu wa ngumi za kulipwa Tanzania Thomas Mashali umezikwa na ndugu, jamaa na mashabiki wa mchezo wa ngumi kwenye makaburi ya Kinondoni Dar es salaam.

Thomas Mashali alifariki dunia usiku wa kuamkia October 31, 2016 baada ya kudaiwa kupigwa na watu waliompigia kelele za mwizi ambapo kwa mujibu wa rafiki wa karibu wa bondia Mashali aitwae Ally amesema marehemu akiwa Hospitali alisema alitofautiana na dereva bodaboda kwenye malipo na ndiye aliyeanzisha kelele za kumwitia mwizi.

3x6a0795

3x6a0826

3x6a0828

3x6a0832

3x6a0838

3x6a0839

3x6a0840

3x6a0845

3x6a0857

3x6a0862

3x6a0865

3x6a0880

3x6a0876

3x6a0866

3x6a0832

3x6a0890

3x6a0888

3x6a0868

3x6a0885

3x6a0792

Tazama hapa chini Thomas Mashali alivyozikwa kwenye makaburi ya Kinondoni Dar es salaam

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement