PremierBet Tanzania Usain Bonus Ad

Top Stories

Dr. Tulia alivyoonesha uwezo wa kucheza na nyoka

on

Wakati tamasha la ngoma za jadi la Tulia Traditional Dances Festival ambalo muasisi wake ni Naibu Spika Dr. Tulia Ackson likiendelea katika wilaya ya Runwe mkoani Mbeya, miongoni mwa tukio kubwa ni hili la Dr. Tulia aliposimama kucheza na nyoka wakati kundi la Bujora kutokea Mwanza likitoa burudani yake. Full video nimekuwekea hapa chini tayari….

“Asitokee mtu akasema hakuna ajira” –Dr. Tulia

Soma na hizi

Tupia Comments