Tangaza Hapa Ad

Habari za Mastaa

AUDIO Mpya: Mr May D ametuletea hii ‘Hustle’ ft Davido & Akon

on

Kwa wapenzi wangu wa burudani siku zote nahakikisha haupitwi na chochote mtu wangu, baada ya ukimya mrefu kidogo tangu auwachie mdundo wake wa ‘i dont wanna know’ kwa wapenzi wa msanii kutoka Nigeria, Mr May D good news kwenu amerudi tena kwenye radio zetu na mdundo mpya featuring Davido & Akon kutoka Marekani ulibeba tittle ‘Hustle’.

Nakusogezea mdundo huu hapa chini mtu wangu unaweza kuusikiliza

ULIMISS KUIONA HII PERFOMANCE YA DIAMOND PLATNUMZ KWENYE MTVMAMA 2016? UNAWEZA KUITAZAMA NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

 

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement