DSTV


Tangaza Hapa Ad

AyoTV

Kocha Mayanga wa Taifa Stars kaongea baada ya sare ya 1-1 na Malawi

on

Kutokana na Taifa Stars kumaliza game dhidi ya Malawi sare ya 1-1 dhidi ya Malawi inamfanya kocha Mayanga kufikisha sare ya sita toka aaanze kuitumikia Taifa StarsNgambi Robert ndio aliifungia Malawi goli la uongozi dakika ya 35 lakini Simon Msuva akaisawazishia Taifa Stars dakika 57.

“Kutokana na kujaribu kubadilisha shida ambazo zimejitokeza kipindi cha kwanza na tulivyorudi kipindi cha pili tumejaribu ndani ya dakika 17 au 18 tukamudu kusawazisha goli na baada ya hapo tulirudi chini kidogo walitubana”>>> Salum Mayanga

ALL GOALS: Taifa Stars vs Malawi October 7 2017, Full Time 1-1

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement