Tangaza Hapa Ad

Mix

PICHA 21: Kutoka kwenye mazishi ya baba yake Belle 9, Morogoro

on

Asubuhi ya April 18, 2017 taarifa za kifo cha mzee Damian Nyamoga ambaye ni baba mzazi wa staa kutoka Bongoflevani, Belle 9 zilisambaa zikieleza mzee huyo alifariki usiku wa kuamkia April 18, 2017 akiwa hospitali akipatiwa matibabu baada ya kugongwa na pikipiki.

Mzee Nyamoga amezikwa leo April 19, 2017 mjini Morogoro ambapo mastaa mbalimbali wakiongozwa na Afande Sele na Jux waliungana na familia ya Belle 9 katika kumuweka mzee huyo katika nyumba ya milele.

Nimekuwekea hapa picha 21 za matukio mbalimbali wakati wa safari ya mwisho ya mzee Nyamoga…

VIDEO: Staa wa Bongofleva Belle 9 amefiwa na baba yake. Bonyeza play kutazama.

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement