Top Stories

RC Tanga auza Vitambulisho mwenyewe, Mbunge amjaza noti avichukua (+video)

on

Katika kuhakikisha kila Mfanyabiashara anakuwa na Kitambulisho cha Mjasiriamali Mbunge wa Jimbo la Mkinga Mkoani Tanga ametoa ofa ya kumlipia kila Mfanyabiashara nusu ya pesa ili kuwawezesha Wafanyabiashara wa jimbo lake kupata Vitambulisho hivyo.

Mara baada ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga Martine Shigela kutangaza ofa hiyo Wafanyabiashara walijitokeza kwa wingi na kwa muda mfupi na RC aliuza Vitambulisho zaidi ya 350 na kuacha zoezi hilo likiendelezwa na DC wa Mkinga Yona Mark.

RC MWANRI AMVAA MHINDI KISA WAFANYAKAZI “WHERE IS MIKATABA NOW, BISHA UONE”

 

Soma na hizi

Tupia Comments