Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO:Magoli ya Simba walivyorudi kimataifa leo vs Gendermarie Full Time 4-0

on

Club ya Simba leo February 11 2018 ilicheza game yake ya kwanza ya Kombe la Shirikisho barani Afrika dhidi ya Gendermarie ya Djbout, Simba ambayo ilikuwa haijashiriki michuano ya kimataifa toka mwaka 2012 imefanikiwa kupata ushindi wa magoli 4-0, magoli ya Simba yamefungwa na Said Ndemla dakika ya 1, John Bocco dakika ya 33 na 42 na Emmanuel Okwi aliyefunga dakika za nyongeza.

VIDEO: Goli la Juma Mahadhi lililoikosoa Yanga vs St Louis uwanja wa Taifa

Soma na hizi

Tupia Comments