Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Mix

“CHADEMA waache kiki, wameanza kuchanganyikiwa” –Mbunge Munde

on

Baada ya Mbunge wa viti maalum CHADEMA Upendo Peneza aliyeituhumu serikali kuwanunua Wabunge wa upinzania na kusababishia taifa hasara , Leo Mbunge wa viti maalum Tabora kupitia CCM Munde Tambwe amezungumza na waandishi wa habari Dodoma na kukosoa kauli hiyo huku akisema hata Lowassa alitoa rushwa. Full video tayari nimekuwekea hapa chini….

BREAKING: Mbunge Upendo Peneza (CHADEMA) afunguka

Soma na hizi

Tupia Comments