Biko Ad
MPTV Ad
Tangaza Hapa Ad

Top Stories

Mabibi na Mabwana Hoteli ya Mbunge Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ imefunguliwa Mbeya (+picha 12)

on

Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi maarufu kama ‘Sugu’ alianza kuijenga hoteli yake toka mwaka 2016 jijini Mbeya na aliweka wazi kabisa kwamba alipata mkopo wa kuijenga kutoka CRDB BANK.

Tayari hoteli imefunguliwa na kuna nafasi za kulaza wageni kwenye room zilizojengwa kisasa lakini pia hata kwa chakula ni bora ambapo mchakato wa kumpata Mpishi ulipatikana kwa njia ya usaili, ukitazama kwenye hizi picha hapa chini utaona chakula alichokitoa Mpishi alieshinda kwenye huo usaili.

Muonekano wa nje

 

Mbunge Joseph Mbilinyi akiwa na Padri akinyunyiza maji ya baraka kabla ya hoteli hiyo kuanza kufanya kazi

Wageni kwenye dinner

Daaaaah Chidi Benz !! hii kauli imehuzunisha wengi…. play hapa chini kufahamu zaidi

VIDEO: Duka la Mwimbaji Jux lapitiwa na bomoabomoa ya ghafla DSM, bonyeza play hapa chini 

VIDEO: Ushauri wa Huddah kwa Alikiba na Diamond, play hapa chini kumtazama Huddah

HAUTAKI KUPITWA??? Kuna hii APP MPYA YA MILLARD AYO kwa wewe wa ANDROID unaweza kubonyeza hapa moja kwa moja kwenda kui-download mtu wangu, HABARI ZOTE KIGANJANI MWAKO >>> APP MPYA BONYEZA HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments