Top Stories

KIPAJI CHA AJABU: Anapiga beat kwa mdomo na kuimba, anaongea sauti tatu wakati mmoja

on

Leo July 7 2018 nakusogezea story ya kijana toka mkoani Kigoma mwenye kipaji cha kipekee anaweza kupiga beat kwa kutumia mdomo huku akiwa anaimba pia anaweza kuigiza kama yupo Redioni akapokea simu yeye na kutangaza yeye.

Kijana Elias au kwa jina maarufu Headphones Mkononi alianza kuonekana sana katika mitandao ya kijamii ambapo video zake zilikua zikisambaa akionyesha kipaji chake.

BREAKING: JPM AKIPOKEA NDEGE MPYA YA ATCL AIRPORT – DSM

Soma na hizi

Tupia Comments