Tangaza Hapa Ad

AyoTV

VIDEO: RC Mbeya anasema ‘hata hivyo nidhamu ya Mbeya Day ni mbovu’

on

Mkuu wa mkoa Mbeya Amos Makalla ameongea na AyoTV Mbeya na kuzungumzia ishu zilizoibuka baada ya lile tukio la Mwanafunzi kupigwa mateke na makofi na Walimu kwenye shule ya sekondari Mbeya Day, unaweza kumtazama akiongea hapa chini kwenye hii video

ULIPITWA? MWANFUNZI ALIYEPIGWA NA MWALIMU MBEYA ASIMULIA…. TAZAMA HII VIDEO HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments

Advertisement